TCU/NACTE CAS SIWAELEWI.

TCU/NACTE CAS SIWAELEWI.

Mahattah JML

Member
Joined
Mar 8, 2016
Posts
50
Reaction score
17
Habari za saa hizi wanaforum, Kwa mliofanya application kupitia TCU/NACTE CAS haswa wanaotumia vigezo vya Diploma nimegundua kitu hiki kuwa ukijaribu kuingia kwenye akaunti kupitia NACTE inaruhusu kulogin na unaweza kuona mpaka Admission status yako lakini sasa system sijui haijawa up to date maana kwa juu inasema Deadline ni tar 23 Septemba Ijumaa lakini tar ya leo iko sahihi, na Ukijaribu kulogin kupitia TCU kwa kutumia kile kitufe cha Diploma holders,Equivalent qualification system haikubali kufunguka kwa maana hiyo huwezi kulogin . Je hizi ni system mbili tofauti au inakuwaje nashindwa kuwaelewa hawa NACTE. Jaribuni na nyie muone inakuwaje .
 
Niliyomfanyia mtu application inaonyesha status kuwa you are provisionally selected
 
you are provisionally selected to one of your choices
 
hapana..mi nilishaachana nao
Niliangalia jina moja kwa moja kupitia websites za vyuo nilivyoomba
 
Aiseee... Hata mm wananivuruga tcu haifunguki kabisaa na ukiingia Web ya vyuo hakuna majina ya third round lakini wanafungua kwa fourth round..... Mfano mm niliomba udom, Duce na muce hakuna third round... Wahusika vp mda unaenda?
 
Ngoja wakifungua tarehe 24 I think watakuwa wameshaachia majina maana hii hali sasa imekuwa ngumu
 
Aiseee... Hata mm wananivuruga tcu haifunguki kabisaa na ukiingia Web ya vyuo hakuna majina ya third round lakini wanafungua kwa fourth round..... Mfano mm niliomba udom, Duce na muce hakuna third round... Wahusika vp mda unaenda?
sasa hapo kuwa mvumilivu tu
 
Bado hawajaachia mpaka sasa

Kuachia majina siyo NACTE bali ni chuo. If you are provisionally selected, tafuta jina lako kwenye list ya vyuo ulivyochagua. Ukisubili NACTE kuachia majina hicho kitu hakipo
 
Kuachia majina siyo NACTE bali ni chuo. If you are provisionally selected, tafuta jina lako kwenye list ya vyuo ulivyochagua. Ukisubili NACTE kuachia majina hicho kitu hakipo
wanadai hayo ya third round vyuon hayapo
 
you are provisionally selected to one of your choices
Hapo acheze tu na listi za majina ya vyuo alivyoapply maana kwangu pia nliambiwa hivyo ila ilibidi niangalie vyuo nlivyokua nimeomba ndo nikakuta jina langu kwenye chuo moja wapo ila profile haijaonyesha
 
Back
Top Bottom