TCU na wizard ya elimu siwaelewi

Wanabana sana lkn hakuna cha maana.
 
Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Na aliesoma cbg haruhusiwi kwenye kozi yoyote ya afya isipokuwa env. health, Wakati pharmacy Kwa diploma unaweza kusoma Kwa pass ya chemistry na biology.
 
Key ni physics huyo hawezi , kwa sasa ila miaka 8 nyuma walikuwa wanachukua katika kozi ya maabara sababu ya uhitaji lakjni kwa sasa no, environmental inamuhusu sana
 
Ss Kwa nn Kwa level ya diploma hawaangalii physics ni just chemistry na biology. Extra English na basic mathematics
 
Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Acha ujinga wewe.
Aliyesoma diploma ya Pharmacy Kuna digrii yake na aliyesoma maabara kuna digrii yake, kwanini unataka uchanganye mambo. Yaani ni sawasawa eti mtu kasoma diploma ya Sheria eti akasome sociology.

Wale wa form 6 wanasoma Physics, Chemistry na Biology ambapo unawapa nafasi ya kusoma kada ya afya anayoitaka kutokana na ufaulu aliopata.
 
Waliosoma diploma ya maabara, au Pharmacy hawaruhusiwi kusoma MD, Kwa wakati huo huo aliyemaliza kidato cha sita anaruhusiwa hivi nini hoja yao kuhusu hili?
Huna sifa ya kusoma degree ya MD kama kigezo cha kusoma clinical medicine ulishindwa kuwa nacho.
 
Ss Kwa nn Kwa level ya diploma hawaangalii physics ni just chemistry na biology. Extra English na basic mathematics
Kiuhalisia kwa Diploma Inabid uwe na physics na Matchs ila ndo hivyo kwa Diploma huko ni biashara za watu
 
Tatizo hujawahi soma kozi ya afya. Hakuna relation Kati ya Geography na afya na pili kuna relationship kubwa sana Kati ya Physics na Afya.

Kule Geography hujifunzi liquid thermometer, hujifunzi temperature, Hujifunzi pressure, hujifunzi atomic reactions alafu unataka asome afya.
Na aliesoma cbg haruhusiwi kwenye kozi yoyote ya afya isipokuwa env. health, Wakati pharmacy Kwa diploma unaweza kusoma Kwa pass ya chemistry na biology.
 
Huna sifa ya kusoma degree ya MD kama kigezo cha kusoma clinical medicine ulishindwa kuwa nacho.
Vigezo vya kusoma diploma ya pharmacy na clinical medicine ni vile vile,aliyesoma pharmacy maake alikuwaa na vigezo vya kusoma clinical medicine sema tofautii ni kwamba diploma clinical medicine degree unaendaa MD peke yake, diploma pharmacy degree unaendaa kusoma degree ya pharmacy ko hata aliyesoma diploma ya clinical medicine na yeye pia hana haruhusiwii kusoma degree ya pharmacy
 
Diploma zote za afya kuanzia clinical medicine, nursing and midwifery, medical laboratory nk lazima uwe ume faulu phys ila kwa pharmaceutical science hata update mswaki unasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…