mashishanga
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 611
- 429
Sasa tunaingia kwenye profile had leo wanasema system Ina finalize selection try again tarehe 5/10/16 daah sasa nashangaa leo tarehe kimya vile vile, moyo wa chuma unaitajika.
Sasa tunaingia kwenye profile had leo wanasema system Ina finalize selection try again tarehe 5/10/16 daah sasa nashangaa leo tarehe kimya vile vile, moyo wa chuma unaitajika.
Wamesema had saa sita mchna kamili kitu kinafunguka..Sasa tunaingia kwenye profile had leo wanasema system Ina finalize selection try again tarehe 5/10/16 daah sasa nashangaa leo tarehe kimya vile vile, moyo wa chuma unaitajika.
Kuwa na subira sasa hata ofisi zao hawajafungua SAA 1 hii we ushaanz kufa moyo kweli!!!!!! Subiri kwenye SAA 5 asubuhiSasa tunaingia kwenye profile had leo wanasema system Ina finalize selection try again tarehe 5/10/16 daah sasa nashangaa leo tarehe kimya vile vile, moyo wa chuma unaitajika.
Kweli kabsa coz hata wakifungua watataka kufanya usafi kwanzaKuwa na subira sasa hata ofisi zao hawajafungua SAA 1 hii we ushaanz kufa moyo kweli!!!!!! Subiri kwenye SAA 5 asubuhi
be serious asee wamekwambia kweli???manake ujinga mm hua sipendi.wanasema mpaka saa 12:00 PM so tusubiri hiyo jion yao
Umewapigia?wanasema mpaka saa 12:00 PM so tusubiri hiyo jion yao
ingia uangalie NACTE utaonabe serious asee wamekwambia kweli???manake ujinga mm hua sipendi.
NDO WAMEANDIKA WAO SIO MIMIUmewapigia?
Had sa 12:00 pm
Na mm ndo nashangaa mkuu, hapo inamaanisha ni kwa certificate na diploma cc diploma holder dizain flan kama tangazo halituhusu vileIla note this "This applies only for certificate and diploma applicants"
KuombaSaa sita ndo wanatoa matokeo?? Au wanaruhusu watu kuomba??