Grevic Jos
Member
- Aug 29, 2013
- 57
- 2
wadau....hivi hawa Tcu watatoa lini ilo official announcement na zaidi sana selection za 3rd round?
Au ndo kusema
Wametuchinjia baharini..
Au hizi presha ndio machozi ya samaki...
Mwenye clue ama taarifa yeyote wadau.
Mana kama tcu bado till now je kuna mategemeo ya mkopo kweli?
Dah nlijua kishanuka ni kusubiri tu mkuu maana mwenyewe ni mmoja wa wanaesubiria
wadau....hivi hawa Tcu watatoa lini ilo official announcement na zaidi sana selection za 3rd round?
Au ndo kusema
Wametuchinjia baharini..
Au hizi presha ndio machozi ya samaki...
Mwenye clue ama taarifa yeyote wadau.
Mana kama tcu bado till now je kuna mategemeo ya mkopo kweli?
"System currently closed. Check your Profile for Selection status" Mambo bado ni bila-bila!
Vip na wa transfe jaman,lini wanatoa??maana muda unaenda sana..tupeane updates izo jamani
hayoooooooooh!
mhh dah hii nikuturusha roho guys kama kuna anaejua au anataarifa ya iyo third round majina yanatoka lini naomba anisaidie plzfunguka basi aisee mbona unaturusha roho mkubwa..
POSTED 2013wadau....hivi hawa Tcu watatoa lini ilo official announcement na zaidi sana selection za 3rd round?
Au ndo kusema
Wametuchinjia baharini..
Au hizi presha ndio machozi ya samaki...
Mwenye clue ama taarifa yeyote wadau.
Mana kama tcu bado till now je kuna mategemeo ya mkopo kweli?