TCU, Mzumbe na vyuo vingine tunaaomba mtoe majina ya second batch ili tujiandae

TCU, Mzumbe na vyuo vingine tunaaomba mtoe majina ya second batch ili tujiandae

Tripple D

Senior Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
187
Reaction score
61
Habari jamani tunawomba leo ikiwezekana mtoe majina ya second batch ili tujiandae muda umeenda tunawaombeni nawasilisha.
 
Habari jamani tunawomba leo ikiwezekana mtoe majina ya second batchi ili tujiandae muda umeenda tunawaombeni nawasilisha
Unaota wewe!, huo udahili wa second selection kwa vyuo hata kumaliza bado kwa mfano udsm, ardhi na sumait bado wanaendelea na zoezi la kupokea maombi
 
mbona wamemaliza mkuu na washapeleka TCU mwisho ilikua tarehe 10
 
nvyuo vingi wanafungua tarehe 30 nadhani muhimu sana watoe mapema
 
mbona wamemaliza mkuu na washapeleka TCU mwisho ilikua tarehe 10
Tarehe 10 ilikuwa siku ya mwisho kupokea maombi. Lazima wakae wajue baada ya watu ku confirm wana nafasi ngapi, wafanye selection (kawaida sio kikao kimoja labda wajiongeze), halafu ndio wapeleke majina TCU, ihakiki ndo irudishe vyuoni nao watangaze. Ni kweli pia account yako inaweza kuonyesha umechaguliwa na chuo pending TCU verification. Kumbuka round ya kwanza kuna wachache walichaguliwa na vyuo lakini TCU ikawatema.
 
Back
Top Bottom