TCU Mungu anawaona

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,795
TCU imefungia vyuo vikuu zaidi ya 14 vikiwemo vyuo pekee viwili vya Kagera -
Chuo Kikuu Kishiriki cha Josiah Kibira (JOKUCo)
na Chuo kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Kadinali Rugambwa(CARUMUCo)
Ninamaswali mengi lakini naamini Waziri mwenye dhamana hana majibu labda niagizo kutoka juu.
Ivi familia zilizokuwa zikihudumu kwenye vyuo hivi zitaishije? Na Maandalizi yote yakiwamo majengo hostels na miundombinu katika vyuo hivyo ni hasara ya nani? Je vyuo vinavyodaiwa na mabenki vitalipa pesa kutoka wapi?
Kweli uchumi utajengwa kwa stahili hii?
 
Akuna chuo cha serikali kwanini????
 
Kama hawajakidhi vigezo ni sahihi kufungiwa mkuu.
 
Nafikiri vyuo vya serkali vimekamilika,
 
Ni vizuri wangetuambia na sababu ya kuvifungia.
 
Hiyo sio sababu ya msing wafunge tu , lakini wasifanye kwa uonevu
 
Reactions: snn
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…