TCU Mtatuua kwa presha

TCU Mtatuua kwa presha

Joined
Oct 4, 2016
Posts
23
Reaction score
2
Jamani mbona mi nikilogin kwenye akaunti yangu nakutana na neno provisional selected na nimeaply toka awamu ya kwanza
 
Ndo hvyo... Subir vyuo ulivyoomba vitoe majina ndo utajua unaenda wapi. Hata mimi ugonjwa ni uleule tuuuu
 
Kheri yenu ninyi maana sasa wengne nawaona wako hoi wlishakata tamaa kwa kile tcu walichokifanya kuwatapika kwa awamu ya kwanza na kuambiwa waombe kwa awamu ya pili..... Nao wakafanya vivyo hivyo....cha kushangaza mpaka sasa imekua kimyaa na kila wakiangalia wanachokikuta ni mfumo bado unaendelea na uchaguzi ' sasa uchaguzi mpaka leo mpaka kesho nn hatima wakati vyuo vimefunguliwa na vinaendelea funguliwa??
Pia watu wajue mapema ili waweze kufanya maandalizi ya kiuchumi.....jamanii TCU??????????????
 
Maybe Utakuwa Umechaguliwa Kwenye Hicho Kilichobaki.

I Have An Experience Last Year Vyuo Vyote Nilivyoomba Vilitoa Majina Kkmabaki Ardhi Tu Which Was My First Priority Kikaja Kutoa Majina Baadae Sana Kwa Kuchelewa Na Nilikuwa Nimechaguliwa Halo.

So Just Stay Calm
 
Back
Top Bottom