fungi6
JF-Expert Member
- Nov 24, 2017
- 287
- 267
Nimekua nikifanya kazi katika cafe flani mjini nimekua nashangazwa sana na hi bodi ya commission of university ya nyumbani apa ambayo wengi pia hawaelewi ni nini iki kinafanyika na hio bodi cha
1- wanachaguaje wanafunzi vyuo zaidi ya kimoja wapatao wanafunzi 1024 uku wanafunzi zaidi ya 2000 wanakosa vyuo kabisa na waliomba?
2- kulingana na mwongozo wao wanao uita almanarq upo tafauti kabisa na jinsi wanavyo fanya mambo yao walisema tarehe 24-26 sep watakua wametoa majina ya wanafunzi walio omba sec selection but mpaka sasa wametoa tena walio chaguliwa na vyuo zaidi ya kimoja uku wengine watakosa tena naona kabisa sasa ivi ni wanafunzi 600 na zaidi wamepata vyuo zaidi ya kimoja embu angalieni awo walio bakia je watapata ?
3- ili ni nilitaka kujua kabisa je ivo vigezo vya wanafunzi wenye D ndo mnavyo angalia sana au kuna vingine kama vipo mviweke wazi zaidi watoti wasiangaike sana maana apa kila siku wanafunzi wanakuja nilalamika kama namimi nafanya kazi tcu
4- number mnazo weka ziwe na urahisi wakujibiwa ndani ya mda maana nyingi ampokei mnaziweka busy
5- na swali lingine ni ili je wale watakao kosa kabisa vyuo adi round hiyo ya 3 je watapaswa kufanyaje ?
-----mwenye uelewa kidogo anaweza saidia apa kusaidia taifa lakesho wenye kiu na hamu ya mafanikio kwa nyanja hii ya elimu ya juu walio fikia