ndupa JF-Expert Member Joined Jan 25, 2008 Posts 4,403 Reaction score 151 Jul 14, 2012 #1 habarini wakuu kwa yeyote anayejua matokeo ya TCU selection anijuze kwa sababu naingia cost za bure kutoka kijijini kwetu suji mpaka same mjini kutafuta access ya internet afu nakuta empty,nawasilisha
habarini wakuu kwa yeyote anayejua matokeo ya TCU selection anijuze kwa sababu naingia cost za bure kutoka kijijini kwetu suji mpaka same mjini kutafuta access ya internet afu nakuta empty,nawasilisha
K KIDUNDULIMA JF-Expert Member Joined Aug 18, 2010 Posts 966 Reaction score 544 Jul 14, 2012 #2 we tulia sebuleni chakula kikiwa tayari utaletewa haraka ya nini?
Bornvilla JF-Expert Member Joined Feb 17, 2011 Posts 924 Reaction score 272 Jul 14, 2012 #3 Ingia kwenye page yao kwa internet kutumia simu yako! Utapata information zote badala ya wewe kuandika jamvini.
Ingia kwenye page yao kwa internet kutumia simu yako! Utapata information zote badala ya wewe kuandika jamvini.
Sema Chilo JF-Expert Member Joined Mar 24, 2012 Posts 324 Reaction score 25 Jul 16, 2012 #4 dogo endelea kuwasaidia wazazi kazi ili wawe wanakukumbuka na waweze kukutumia pesa ok matokeo BAAADAE SANA tupo busy na SENSA. cheki after sensa
dogo endelea kuwasaidia wazazi kazi ili wawe wanakukumbuka na waweze kukutumia pesa ok matokeo BAAADAE SANA tupo busy na SENSA. cheki after sensa