kiboko samson
Member
- Oct 14, 2013
- 73
- 74
Naona GPA inapanda na kushuka kama presha teh the teh..
ni kweli vyuoni udahili umepungua mno hata hiyo si ajabu wakashusha tena naona wapo kwenye majaribiovyuo vimekosa wanafunzi wa kudahili sasa wafanyaje??
Watapewa muda wa kuapply mkopo pia sababu kosa ni la TCUPoleni sana wadogo zangu ombeni tu ila kwenye mkopo nadhani wengi hawakuapply. Ama kweli Kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi