Washajaza vyuo ndo wanaruhusu watuwaombeeeeeeNaona GPA inapanda na kushuka kama presha teh the teh..
Vyuo vingapi vimejaa?Washajaza vyuo ndo wanaruhusu watuwaombeeeeee
Itakua ni jambo jema sanaWatapewa muda wa kuapply mkopo pia sababu kosa ni la TCU
ni kweli vyuoni udahili umepungua mno hata hiyo si ajabu wakashusha tena naona wapo kwenye majaribio