TCU: Hii imekaaje..!?

Una matatizo. Kama mwanafunzi mwenyewe ndiyo wa hivi ndiyo maana hawakukuchagua
 
Una matatizo. Kama mwanafunzi mwenyewe ndiyo wa hivi ndiyo maana hawakukuchagua
Sio yeye mkuu...
Kijana AMEPAGAWA..!
Jaribu KUVAA viatu vyake utaelewa na maanisha nini..!
 
Kwa hyo ukiwazidi wenzio tu unaanza dharau? So waliopata 3 wamekuwa mijitu . Wewe cku ukipata ukubwa utanyanyasa sana watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…