Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,288
- 10,959
Kwel Mkuu hujakosea yan udsm wameniacha first round na two yang ya kumi. Alaf leo hii naangalia second batch et mijitu yenye three imechaguliwa.First round watu wamekosa nafasi katika vyuo walivyoomba...
Hao waliokosa nafasi first round wakapewa nafasi ya kufanya tena application round ya pili...
Lakini leo hii vyuo vinatoa majina ya second batch, zile programz ambazo zilijaa mpaka kupelekea watu kukosa nafasi round ya kwanza kuna watu wamechaguliwa, tena wengi tu..!
Swali: Hao watu waliochaguliwa second round katika programz ambazo zilijaa first round wametokea wapi..!?
Pia,vyuo vinatoa majina ya watu waliochaguliwa second round lakini applicants wakiingia katika accounts zao TCU wanaambiwa SYSTEM imefungwa na mchakato wa kuwapangia vyuo bado unaendelea...
Hii imekaaje TCU..!?
Mimi si MUATHIRIKA katika haya, lakini haya MAPUNGUFU yamenishangaza kidogo..!!!
Kuna watu watakuja kukushambulia...Kwel Mkuu hujakosea yan udsm wameniacha first round na two yang ya kumi. Alaf leo hii naangalia second batch et mijitu yenye three imechaguliwa.
Na wakat naomba second round ivo ivo vyuo havikuwepo kwenye list. Et leo hii watu wamechaguliwa second batch
Doh..!mtu Mara ya kwanza kakoswa Chuo kaomba second na udzm akuijaza Mara ya pili lkn kachaguliwa apo apo .sasa tcu izo c ndo nafas za wengne jaman .
Ndio Mkuu ila walichofanya sio ishu kabsa.Kuna watu watakuja kukushambulia...
Lakini hii haijakaa sawa..!
Wamewapotezea watu muda kama sio kuwaharibia maisha kabisa..!
UDSM hawachagui Division yako, sijui 1,2 hapana. Wanachagua mwanafunzi yeyote aliyefaulu.Kwel Mkuu hujakosea yan udsm wameniacha first round na two yang ya kumi. Alaf leo hii naangalia second batch et mijitu yenye three imechaguliwa.
Na wakat naomba second round ivo ivo vyuo havikuwepo kwenye list. Et leo hii watu wamechaguliwa second batch
Na ndio maana tunasema hawako sawa..!UDSM hawachagui Division yako, sijui 1,2 hapana. Wanachagua mwanafunzi yeyote aliyefaulu.
So kuna wenye division one kibao wameachwa wakachukuliwa wenye division three
Kwan vigezo vya kuchaguliwa university kubwa Kama ile n vp?UDSM hawachagui Division yako, sijui 1,2 hapana. Wanachagua mwanafunzi yeyote aliyefaulu.
So kuna wenye division one kibao wameachwa wakachukuliwa wenye division three
Pole sana kaka...Ndio Mkuu ila walichofanya sio ishu kabsa.
Ndoto zangu zote n kuchukua degree yang kwanza pale wamenivunja
Huyo anataka kutuambia kwamba TCU wanachagua randomly bila kuangalia UFAULU wa applicants..!Kwan vigezo vya kuchaguliwa university kubwa Kama ile n vp?
mzee kanichukia sana kisa tcu daaaah!Pole sana kaka...
Lakini TCU kuna TATIZO..!
TCU kuna TATIZO..!!!
Mzee kakuchukia kivipi tena mkuu..!?mzee kanichukia sana kisa tcu daaaah!
Ha ha ha haaaaaaaa!!ama kweli dathalama sijui kuna nini hukuNdio Mkuu ila walichofanya sio ishu kabsa.
Ndoto zangu zote n kuchukua degree yang kwanza pale wamenivunja
Sijakuelewa bado!Na ndio maana tunasema hawako sawa..!
Pia wenye shida hapo si UDSM bali ni TCU..!
Kupata two au one sio sababu ya kuchaguliwa first roundKwel Mkuu hujakosea yan udsm wameniacha first round na two yang ya kumi. Alaf leo hii naangalia second batch et mijitu yenye three imechaguliwa.
Na wakat naomba second round ivo ivo vyuo havikuwepo kwenye list. Et leo hii watu wamechaguliwa second batch
Ni kweli hayo ni mapungufu, TCU hawajazingatia ratiba za vyuoni ipasavyo, walitakiwa majibu ya second round yatoke kwanza ili watu wajue kama kutakuwa na Third round au laaa.Sasa ucheleweshwaji huo unawapelekea vyuo kutoa selection zilizokuwa tayari TCU kwa kuzingatia ratiba zao na kutoa nafasi kwa wanafunzi na wazazi kujiandaa ipasavyo. Don't lose hope ndugu, all the bestFirst round watu wamekosa nafasi katika vyuo walivyoomba...