Hii 3.5 GPA ni kwa wa afya tu, kwa kozi zingine ndo ileile 4.0 GPADoctor of medicine: Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with at least Five (5) passes including two credit passes in Chemistry and Biology and a D grade in Physics PLUS Diploma in Clinical Medicine with an average of “B+’’ or GPA of 3.5 OR BSc (lower second) majoring in Physics/Mathematics, Chemistry, Biology /Zoology.
hii 3.5 si waliitelemsha? au?
Mkuu umevurugwa nini...au umepitia guide book ya kenya?Hii 3.5 GPA ni kwa wa afya tu, kwa kozi zingine ndo ileile 4.0 GPA
Actually ni list ambayo haina hata maelezo ya ziada.Hivi hii ni guide book or just a list of approved degree programmes?
Hii ni GPA ya mwenye diploma ya afya kwenda degree, kwa kozi zingine GPA ni 3 kwa watu wa diploma. Hiyo 4.0 ni points (DD/CE) kwa wale watokao Advanced.Hii 3.5 GPA ni kwa wa afya tu, kwa kozi zingine ndo ileile 4.0 GPA
Typing error tu kiranja, ni 3.0 kwa kozi zingineHii ni GPA ya mwenye diploma ya afya kwenda degree, kwa kozi zingine GPA ni 3 kwa watu wa diploma. Hiyo 4.0 ni points (DD/CE) kwa wale watokao Advanced.
Ni 3.0 kiranja kwa kozi zingine, mistakenMkuu umevurugwa nini...au umepitia guide book ya kenya?
brain is the beautiful part of the body.
Poa mkuuTyping error tu kiranja, ni 3.0 kwa kozi zingine
nasikia kwa nyinyi mnaapply direct kwenye vyuoJaman naomba kuuliza hii guidebook inasema ni kwa form six and RPL only vipi kwa watu wa diploma
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana kozi nyingi zimefutwa na hazitambuliwi na TcuMbona volume ya kitabu imekuwa finyu kulinganisha na huko nyuma? vyuo vingi vimefutwa
Sio kozi tu zilizopotea kuna vyuo vingi pia vimepotea. Nahisi kuna tatizo mahali.Inaonekana kozi nyingi zimefutwa na hazitambuliwi na Tcu
Kwa kuwa wanafunzi wanaomba wenyewe badala ya kupangiwa tu. Nadhani vyuo au TCU wameondoa baadhi ya program ambazo less popular au kitu kama hiyo. Either way, wanahitaji kutoa ufafanuziHii kitu tuiangalie kwa uangalifu. Kuna vyuo vimefutika kabisa na vingi vina course (programs ) chache ambazo zimekuwa approved. Kuna nini nyuma ya hili. Bahati mbaya sioni maelezo yeyote. Je kuna nyongeza itatolewa au ndo kazi imefungwa hapo? Nafikiri TCU wanatakiwa watoe maelezo ya ziada!!!!!!!
Kwa kuwa wanafunzi wanaomba wenyewe badala ya kupangiwa tu. Nadhani vyuo au TCU wameondoa baadhi ya program ambazo less popular au kitu kama hiyo. Either way, wanahitaji kutoa ufafanuzi