Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Ila kwawale wanga wa coz za afya hakuna hata moja.
Nursing Zilikuwepo 1 Kairuki Na 5 Internationa Medical(....).Labda Kama Zmeisha..Engineering Zpo Udsm Na St Joseph Tu..Chekshia Sasa Hzo Cutoff Point..Hahahaha! Utakimbia.
Hahahaha noma nimecheki sasa hiv hakuna nimeona nursing Intrnation Medical.nafas 1
Kama ulicheki mapema vyuo vya afya ambavyo vilikuepo n vip
ndoto za udaktari zileeeeeeeee zina yoyoma
Dahhhhhhh noma sana
duuh wakuu hakuna nafasi nyingi za afya naona imtu nursing asee watatutoa maini wakuu
Kama ivyo yanJaman iyo elfu thelathin ndo inalipwaje
Kama ivyo yan
aseee nlikua nauliza wadau iyo ela yao via mpesa unalipa adje...msaada wenu tafadhali nw... Iyo n ya tcu cas
Kama ivyo yan
Sasa kwa mfano ukienda chuo ukaomba nafas ukapata na wakaandika barua nikaenda nayo TCU wanaweza kubali