TCU CAS imesha funguka sasa

TCU CAS imesha funguka sasa

wadau kuna ata mmoja uku ndani aliefanikiwa kufanya transfer ya tcu cas...mana n kisanga...
 
shda ipo nmetuma ela tcu via mpesa nmereceive txt ya mpesa ila ya voucher ya tcu cjaipata bdo...asa cjui n vp???
 
Maisha sio udoctor maisha ni jnc unavyoyapanga we mwnyewe, wangap wanamishaara mikubwaa lkn wanaish maisha ya kawaida,
 
nalipia kwa tigo pesa naambiwa "muamala umesitishwa pesa imerudishwa kwenye akaunt yako" je tatzo lipo TCU au TIGO, kama kuna mtu aliyefanikiwa asaidie nataka hamia NIT computer science kwan nilipumba kujaza open university skujua utaratbu wao kwan nipo kijijin,SHUKRAN KWA WANA JF NIMEJIFUNZA VITU VINGI
 
mi nmelipa kupitia mpesa Jana ikawa n fasta tu ila sasa ndo iyo voucher no hawajanitumia til nw nmewauliza wananiambia nisubr mpk wanunue izo vocha max malipo afu mbaya zaidi wengine wanaendelea fanya transfer km wa nacte so cjui km coz ndo izo izo walizotoa tcu na ndo za nacte km ndo ivo bac c wengne tushakosa ivo nafac ztajaa mapema...tcu n discouragement magufuli akavunje iyo bodi yao haitendi haki kabsaa...
 
Kabla Haujalipia Nakushaur Kwanza Uangalie Kama Course Unayotaka Ipo..La Svyo 30 Yko Italiwa Tyu Mkuu.
mkuu utajuaje kabla ya kulipia afu izo cutt off point znakua ni za juu kuliko kiwango kile ambacho walikizingatia wakat wa selection...yan namaanisha kuna mtu pale n i t amechaguliwa ana d mbili je ktk kutransfer unaweza kuhamia pale kwa point km za yule jamaa alochaguliwa ktk selection yan uhamie kwa koz ileile ya jamaa...au kwa kuhamia point zinazidi? Naomben msaada kwa wale walolipia na wameshaziona izo cut of point znavoenda
 
Kwani mkuu upo nacte au tcu cas????
 
asa ukifungua a/c yako tcu pale upande wa kushoto kabla ya apply for transfer c kuna ile view possible transfer programmes c wameweka kla chuo slots na cut off points...
 
Mimi bado profile yangu inaonesha WAITING FOR APPROVAL, sielewi tatizo nini, au ndo dalili za kutemwa?
 
Back
Top Bottom