Tcu batch!!!

mahroof

Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
50
Reaction score
63
Habari wanajamvi
Naombeni ushauri.mpaka leo sijaruhusiwa kufanya alication upya na naona vyuo vinazidi kujaa na mda ndo unayoyoma.nilipeleka barua tangia mwezi wa nne mpaka leo haijafanyiwa kazi.nikijaribu kuwaigia sim hawapokei
Ushauri wenu watanzania wenzangu!

asanteni.....
 
Funga safari uwafate ndugu hizi taasisi za serikali zina mambo mengi na kama si mfatiliaji mzuri utajikuta swala lako halifanyiwi kazi....!

NB: usisahau viambatanisho muhimu kama barua ya kuacha au kutofika chuo na vyeti vyako!

Good-luck.
 
Nenda TCU omba kuona na MAHUNDU! ukishindwa! Tuwasiliane Mapema. pole Sana!
 
Sawa! jitahidi. ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA!! wahenga walisema hivyo! na NI KWELI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…