TCU angalieni na hili la Form Six graduates.

TCU angalieni na hili la Form Six graduates.

kwa wanavo katishwa tamaa ya maish hasa ukizngatia hiz marks mpya zilikuj baada ya wao kufny mtihan jaribu kufkiria usijifany wewe unauchungu saaaana na hii elim ya bongo
Kwahiyo hata kama tumekosea tushindwe kufanya marekebisho sababu kuna watu wamefanya mtihani tayari
 
Kwahiyo hata kama tumekosea tushindwe kufanya marekebisho sababu kuna watu wamefanya mtihani tayari
na ndo maana unaona mara wameshusha viwango kutoka GPA 3.5 MPAK 3.0 ni kutokana na kukurupuka kwao hawakufany
utafit kama wameamua kuweka viwango vya juu nini wanababaika???
 
na ndo maana unaona mara wameshusha viwango kutoka GPA 3.5 MPAK 3.0 ni kutokana na kukurupuka kwao hawakufany
utafit kama wameamua kuweka viwango vya juu nini wanababaika???
Poa subirini na kwa form six watashusha kutoka d mbili mpaka s mbili
 
ahaa kuna vyuo vinadai wanafunzi kufikia 597 kwa koz moja yan kicheko na ukikosa second round jiandae na third round usikate tamaa katikati ya magumu na miujiza hujitokeza.........
Kwan kuna 3rd round..?
 
its logic,,,,hawa form 6 wanayonafasi ya kwenda diploma,,,,ulishafikiria hao diploma wasio na sifa wakasome nin???
Mtoa mada acha ubinafsi usijiangalie peke yako
 
Atakama wakirekebisha mambo yatazidi kuwa mabaya tuu.
Maaana kama mtu mwenye dvsn2 anakosa hadi education je wewe mwny EEE unategemea nini ?
Kama syo kukosa chuo thn unabaki nyumbani.
Minaona ambao amnavigezo atakama wakipunguza points kwa wale wasayansi bora muombe diploma za afya mara mia afadhali kuliko.
 
We c unatetea ujinga baada ya kuwashauri wadogo wasome kwabidii

Sizani kama mtoa mada anatetea ujinga bali ni jinsi maamuzi yalivyotolewa ,Maana isingekuwa vibaya yangetolewa na kuanza kutumika kwaajili ya wanafunzi wa mwakani na kuendelea, samahani kama nimekukwaza, ni mtazamo wangu tu brother.
 
Kuna watu wana comment bila ya kuangalia nini mnacomment ivi mnajua wanafunzi wangapi wa goem six wamekosa nafasi wana point 3 ukiacha pcb or pgm wapo hadi wa hkl au eca .Mfano tu chuo cha ita au tia wanatakiwa ada ya term sh 770000 within a week . bora mkopo unaokoa awa watu wakalipa ata nusu na mkopo ukajazia .Nimemaliza form six kuna wenzangu wa 5 awaja apply iyo diploma coz awakuwa na hela ya kulipia iyo school fees je wale watafanyaje ndoto zao zimekatishwa kijinga kabisa .Tcu wanatakiwa kurudi viwango vya zamani au kushusha angalau point 3
 
its logic,,,,hawa form 6 wanayonafasi ya kwenda diploma,,,,ulishafikiria hao diploma wasio na sifa wakasome nin???
Mtoa mada acha ubinafsi usijiangalie peke yako
Mkuu mie ubinafsi wangu ni upi tena?
 
maelezo mazuri wasiwasi wangu cjui kama wataipata na ata wakiipata kama wataitekeleza
ikifika mahali watoto wa vigogo wanaisoma namba ndo angalau tutaona auheni ila kwa sasa tcu wameamua kuua nyani bila kumtazana usoni

Kumkoma nyani giladi
 
Hii Tanzania Yote mambo yanaendeshwa kienyeji enyeji, wana subiri mpaka mitihan ifanyike ndo grades zbadilishwe mambo ya ajabu sana
 
Back
Top Bottom