TCU angalieni na hili la Form Six graduates.

herikipaji

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Posts
1,199
Reaction score
1,377
Kuteleza sio kuanguka TCU mengi mnayoamua ni ya hovyo sana hapa HAKI itakuwa haijakamilika kama hamtarekebisha na cutoff points kwa form six graduates.
Kumbukeni maamuzi mliyatoa kwa wote Diploma Holders na Form Six graduates kupandisha GPA na Cutoff point wote wakiwa wameshafanya mitihani inakuaje mnabatilisha maamuzi yenu kwa Diploma Holders pekee na kuacha Form Six graduates wakihukumiwa kwa kigezo kilekile mlichopanga wakiwa wameshafanya mitihani?
Hivi hii ni mnatenda HAKI ?

Hawa pia ni watoto wa makapuku, wanyonge, pangu pakavu msiporekebisha machozi ya damu na jasho la watu hawa bado itakuwa ni juu yenu hakika.

Awali niliandika humu kupinga mengi ya hovyo mnayofanya ikiwa mda mdogo wa usajili kwa Diploma holders mkaongeza, GPA mmerekebisha sasa rekebisheni na kwa Form Six graduates.
TCU mnafanya haya madudu kwa faida ya nani?

Wanafunzi wa Diploma mliodhulumiwa fedha zenu fungueni kesi mahakamani dhidi ya TCU

[HASHTAG]#TUNATAKA[/HASHTAG] ELIMU BORA MADUDU NA MAIGIZO KWENYE ELIMU SASA YATOSHA.
 
maelezo mazuri wasiwasi wangu cjui kama wataipata na ata wakiipata kama wataitekeleza
ikifika mahali watoto wa vigogo wanaisoma namba ndo angalau tutaona auheni ila kwa sasa tcu wameamua kuua nyani bila kumtazana usoni
 
Tuna imani humu wengi wanapitia kama sio wahusika basi hata jamaa na marafiki zao wawafikishie ujumbe huu na watekeleze ili kutenda HAKI sababu hakuna kitu kizuri kama kutenda HAKI ndugu.
 
huku sisi tuna 2 hatujapata chuo je hao wengine watakao punguziwa??
ahaa kuna vyuo vinadai wanafunzi kufikia 597 kwa koz moja yan kicheko na ukikosa second round jiandae na third round usikate tamaa katikati ya magumu na miujiza hujitokeza.........
 
Kweli mdau asikate tamaa.
 
Kuteleza sio kuanguka TCU mengi mnayoamua ni ya hovyo sana hapa HAKI itakuwa haijakamilika kama hamtarekebisha na cutoff points kwa form six graduates.
Kumbukeni maamuzi mliyatoa kwa wote Diploma Holders na Form Six graduates kupandisha GPA na Cutoff point wote wakiwa wameshafanya mitihani inakuaje mnabatilisha maamuzi yenu kwa Diploma Holders pekee na kuacha Form Six graduates wakihukumiwa kwa kigezo kilekile mlichopanga wakiwa wameshafanya mitihani?
Hivi hii ni mnatenda HAKI ?

Hawa pia ni watoto wa makapuku, wanyonge, pangu pakavu msiporekebisha machozi ya damu na jasho la watu hawa bado itakuwa ni juu yenu hakika.

Awali niliandika humu kupinga mengi ya hovyo mnayofanya ikiwa mda mdogo wa usajili kwa Diploma holders mkaongeza, GPA mmerekebisha sasa rekebisheni na kwa Form Six graduates.
TCU mnafanya haya madudu kwa faida ya nani?

Wanafunzi wa Diploma mliodhulumiwa fedha zenu fungueni kesi mahakamani dhidi ya TCU

[HASHTAG]#TUNATAKA[/HASHTAG] ELIMU BORA MADUDU NA MAIGIZO KWENYE ELIMU SASA YATOSHA.
Unalia lia nini...nenda karudie mtihani wewe acha kupigapiga kelele
 
dah yaan TCU ni bonge la jipu yaan wanatupa stress zisizo za msingi wanaboa sana mpaka sasa wajatoa first selection kwa wahitimu wa diproma fyuuuuu
 
Wanafanya vituko na vimbwanga yani mpaka unashangaa.
 
Wale wenye line za chuo kazi kwenu jamaa yangu alikuwa anatumia line ya chuo bodi ya mikopo imemletea deni eti alisoma udsm wakati jamaa kaishia form 2 enzi hizo Matombo
 
ebana hii wanayofanya TCU sasa sio haki kabsaaaa kama wamepunguz kwa diploma holders tu wapunguz pia na wale wa six
wafany ata point 3
 
Back
Top Bottom