TCU and NACTE mnatuchanganya diploma holders

TCU and NACTE mnatuchanganya diploma holders

Ngiyemenya

Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
67
Reaction score
32
Wna jamii miimi nashangaa sana nimeingia katika profile yangu katika vyuo vyote nilivyoomba nashangaa kaika admission capacity wameweka zero(0) wakati hapo mwanzo kulikuwa na idadi sasa sijui wanamaanisha nini manake nimechaganyikiwa,
 
Duuh kama ivo basi umenuku tena,,,,,, ww c form6
 
Kama capacity ni zero maana ake selection imeishafanyika na izo kozi azina nafasi tena iyo aina maana ujachaguliwa ndugu subiri tu selection
 
yaani mimi hatasielewi kwann wanatufanyia hivyi
capacity kuwa zero sio tatizo na haimaanishi kuwa hujachaguliwa ila humaanisha kuwa nafasi zimejaa katka cozi husika na si vinginevyo
cha muhimu tusubir selection mpaka mwisho.
 
capacity kuwa zero sio tatizo na haimaanishi kuwa hujachaguliwa ila humaanisha kuwa nafasi zimejaa katka cozi husika na si vinginevyo
cha muhimu tusubir selection mpaka mwisho.
yaani hata hamu sina ngoja tumwombe mungu tu lakini TCU & NACTE mungu anawaona
 
jaman mbona mm profile yangu imeludi vile vile afu izo capacity sizion jaman
 
Hahahaha kwani kusoma digrii ndo kwenda mbinguni????? Waache kuwasumbua watoto nao lol ※※※※
 
Hata hizo programu hazipo kwenye profile yangu
 
Back
Top Bottom