Julius Husseni
JF-Expert Member
- Sep 9, 2016
- 1,435
- 1,195
Eti nasikia 2nd round wametoa mwenye information atupe ukweli maana atuelewi elewi
Nasikia baadhi ya vyuo tayar watu wamechaguliwaUmeskia wap hyo mkuu
MumKama vp
Najua kimoja tu muslim university of morogoro au kuna vingine mkuuNasikia baadhi ya vyuo tayar watu wamechaguliwa
Kwani kile tofauti na vyuo vingne TanzaniaNajua kimoja tu muslim university of morogoro au kuna vingine mkuu
Man hujanielewa nnnachomaanisha ni kwamba MUM wameshatoa second round je kuna vyuo vingine ulivyoskia wametoa??Kwani kile tofauti na vyuo vingne Tanzania
Nimekuelewa mbona ndo mm nimeuliza mum iweje watoe na vingne bdo Kwan fofauti? [/IMG]Man hujanielewa nnnachomaanisha ni kwamba MUM wameshatoa second round je kuna vyuo vingine ulivyoskia wametoa??
Kuchelewa noma kk..Kuweni na subira vijana,, kama una sifa chuo utatimba tu hata kwa kuchelewa