Huenda wewe ni yule jamaa wa pale TIGO Customer care ambaye ni kiherehere ajabu utazani unahisa kwenye kampuni!..sasa hao wanachuo watakaa chuoni milele? mwanachuo ni nani? mimi naefanya kazi halafu nasoma utaniitaje? ovyo kabisa wewe, chuoni sio mahabusu hadi TCRA waweze kucontrol hilo. watu chuoni wanasoma short course kibao nakusepa, wanaodisco kibao, evening class kibao, wanaomaliza kibao, sasa wewe umetumia kigezo gani kusema hayo? waacheni wawakaange nyie bakieni na tabia yenu ya kupunguza bando tu, na 4G isiyo na maana...TENA WACHA NIHAMASISHE WATU WENGI TUKAJIUNGE HALOTEL.....Mpango mzima...