TCRA wanatudanganya?

TCRA wanatudanganya?

Tembosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,771
Reaction score
4,491
Nilisikia wakati wa uzinduzi kuwa sasa TCRA wanamitambo inayoweza kupata mawasiliano yote ya ndani na yale ya kimataifa!!

Naona kwa hili la Whatsapp hawataweza!
Bora wawe wazi kuwa kuna mawasiliano mengine hawataweza kuyadukua.
IMG_20190120_160730_086.jpeg
 
Nilisikia wakati wa uzinduzi kuwa sasa TCRA wanamitambo inayoweza kupata mawasiliano yote ya ndani na yale ya kimataifa!!

Naona kwa hili la Whatsapp hawataweza!
Bora wawe wazi kuwa kuna mawasiliano mengine hawataweza kuyadukua. View attachment 1000243
Au hiyo mitambo yao ni ya aina gani?
 
wabongo sisi bhana! ingefaa uelewe kwanza walimaanisha nn bro, hayo ya wasapu yanaingiaje tenaa
 
Back
Top Bottom