TCRA wameiblock Telegram ?

Heshima kwenu wakuu...
Leo App ya telegram nimedownload ila kila nikijsribu kujisajili inagoma tangu jioni
Sio kitu cha kawaida

Huwa inafanya Kazi upesi kwa Simu za kuanzia Tsh Milioni Moja lakini kwa hizi zetu za Tsh Elfu 60 na 75 tutasubiri sana!
 
Huwa inafanya Kazi upesi kwa Simu za kuanzia Tsh Milioni Moja lakini kwa hizi zetu za Tsh Elfu 60 na 75 tutasubiri sana!
Ahsante mkuu mimi ni diwani nikinunuliwa na CCM nafikiri itasaidia kuipata hii Mil 10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…