Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,799
- 165,546
Hivi hizo local Channel za tv siku hizi zimekuwa za kulipia tofauti na tulivyoelezwa hapo awali?
Hivi kuna sheria inayatamka bayana kuwa local Channels hazipaswi kulipiwa au hii ni favour tu isiyo na nguvu yoyote ya kisheria?
Kama kuna ni sheria,je TCRA mmeshindwa kusimamia sheria hii?
Kama mmeshindwa kusimamia,ni kwanini msiwajibishwe?
Hivi TCRA wamewahi kutolea ufafanuzi jambo hili?
Au tunapolipia ving'amuzi hivi serikali nayo hujiongezea mapato kwa kutoza makampuni haya kodi?
Alafu hawa Startimes na Star tv wana nini baina yao maana kwa sasa hata ukilipia king'amuzi cha Startimes hiyo star tv bado tu huipata kupitia Startimes!
Kama TCRA hili limewashinda basi viongozi wa juu wa serikali waingilie kati au tutangaziwe rasimi tu kuwa kwa sasa utaratibu umebadilika tujue moja.
Majibu ya hili tatizo linashughulikiwa mara ni tatizo la kiufundi tu yamekuwa ni ya muda mrefu sana.