Mkuu mie nina 14" utasemaje sasa32" unaona kweli? au hadi uvae miwani?
kama unatumia laptop nadhani haina shida maana unakaa karibuMkuu mie nina 14" utasemaje sasa
Hizi built in si zinakuja na dish!?.. ina maana ukiweka antenna utapata na FTA channel?Weka Antenna mkuu. Hizi za Nyumbami zinafaa zishike zote Free. Ila TCRA na Wawekezaji wanapaswa kutumia Fursa.
Natamani niwe na TV, Speakers na HDD tuu.
Mambo ya Deki na Kingamuzi natamani niyaweke pembeni maana inawezekana kwa hii Smart TV niliyonayo.
unatumia dishi au hicho hicho ki antena?Weka Antenna mkuu. Hizi za Nyumbami zinafaa zishike zote Free. Ila TCRA na Wawekezaji wanapaswa kutumia Fursa.
Natamani niwe na TV, Speakers na HDD tuu.
Mambo ya Deki na Kingamuzi natamani niyaweke pembeni maana inawezekana kwa hii Smart TV niliyonayo.
Hizi built in si zinakuja na dish!?.. ina maana ukiweka antenna utapata na FTA channel?
Ni king'amuzi gani ulivyofanya ivyo ukapata channel za bureNimebadili setting kwenye tuner nikaweka Kenya kama nchi badala ya Tanzania nimepata channel nyingi za bure zikiwemo nyingi za Tanzania. Kesho najaribu kuweka India nione kama nitanasa channel zao.
Penye Nia Pana Njia
Na U - Genius unachangia.
Teknolojia imekuwa sasa. Kama ambavyo zama za analojia, ilikuwa ukinunua TV unapata channel zote za analojia bure.
Sasa hivi kuna Digital TV, mfano hii yangu TCL 32" Smart TV nimeunganisha kiantena cha startimes kwenye antena port yake nikanasa channel 70+ ila za ndani tatu zikaonyesha (clouds, ITV na EATV).
Channel nyingine ziko "Scrambled" na hamna namna ya kuzifungua.
Nimeona ni vyema TCRA mkaangalia namna ya kutusaidia ku "unscramble" hizo channel ili tufaidi bila kulazimika kuongeza gharama za kununua visimbuzi vingine na kuongeza bure idadi ya device nyumbani bila sababu.
Zingatia TV zenye built in Decoder ni gharama sana. Nanyi tutawafaidisha kwa msaada mtakaotupatia.
Wawekezaji pia kama Star Media StarTimes Tanzania na wengineo waangaie namna ya kutuwezesha kuona channel hizo hata kwa malipo kidogo bila gharama ya kununua ving'amuzi.
Nawasilisha.
Nashukuru kwa ahadi hii njema.habari yako, tunashukuru kwa maoni yako tutafikisha idara husika!
pia kwa sasa startimes tuna DIGITAL TV ambazo ukinunua huitaji kuwa na king'amuzi cha nje! karibuni sana
CI module mnauza bei gani ? malipo ni bei gani kwa mwezi ya channel zake ?habari yako, tunashukuru kwa maoni yako tutafikisha idara husika!
pia kwa sasa startimes tuna DIGITAL TV ambazo ukinunua huitaji kuwa na king'amuzi cha nje! karibuni sana