Ndivyo wanavyofanya mkuu. Hauwezi kufuta namba bila virification ya dole gumba Nida.Hiyo process ya kufanya mteja afute namba yake iliyokuwa duplicated itabidi iwe na verification, kinyume na hapo Mtu feki anaweza akaripoti kwa mtu Original then aliye original akapoteza namba yake.
Na hiyo verification process ifanyike ofisi za Mtandao husika vikiambatanishwa vitambulisho. Hii ndo njia salama na fair kabisa.
Hii ni hatari kwa sababu mtu mwenye feki anaweza mfuta mtu mwenye Original. Ufutaji huu ni vyema ukawa ni Ofisini sio kwa wakala wa mtaani. Na kama tukitaka mtu afute mwenyewe nyumbani basi pawe na verification ya kuingiza NIN na maswali mengine kama tarehe ya kuzaliwaWaweke option ya mteja mwenyewe,kufuta namba asiyoitambua,,
Mtu fake kumreport Og sizani kama inawezekana maana wengi walio tumia njia hiyo kusajiliwa lain hata namba ya nida iliyo tumika kusajilia lain zao awazifahamu labda kama hao mawakala ni marafik au ndugu zao ndy wanaweza kuwatajia nao waka note sehemuHiyo process ya kufanya mteja afute namba yake iliyokuwa duplicated itabidi iwe na verification, kinyume na hapo Mtu feki anaweza akaripoti kwa mtu Original then aliye original akapoteza namba yake.
Na hiyo verification process ifanyike ofisi za Mtandao husika vikiambatanishwa vitambulisho. Hii ndo njia salama na fair kabisa.
Yah Verification #iwe ni kwa njia maswali mazito ambayo yataweza kumthibitisha mtu ambaye ni mmiliki halali wa lain husikaHii ni hatari kwa sababu mtu mwenye feki anaweza mfuta mtu mwenye Original. Ufutaji huu ni vyema ukawa ni Ofisini sio kwa wakala wa mtaani. Na kama tukitaka mtu afute mwenyewe nyumbani basi pawe na verification ya kuingiza NIN na maswali mengine kama tarehe ya kuzaliwa
Kwa sisi tulio mbali tungesaidiwa baada ya verification ya kidole tungefanya ya maswaliVerification unaifanya wewe kwa namba ya Nida na Dole lako.
Ndivyo ilivyo.
Nimekupata vema.Kwa sisi tulio mbali tungesaidiwa baada ya verification ya kidole tungefanya ya maswali
Mfano jina la mama kabila mahari alipo zaliwa tarehe mwezi na mwaka
Kama process zile zile tulizo fanya uhamiaji
Hayo utaulizwa wewe na mwenye namba unayo taka ifutwe then wao wanalinganisha data huko makao makuu t
Kwa mtililiko huo wa maswali mwizi na mwenye mali yake atajulikana tu
Inaanza tumika tar 1 mwezi ujao.. hakuna cha uhatari wala nnHii ni hatari kwa sababu mtu mwenye feki anaweza mfuta mtu mwenye Original. Ufutaji huu ni vyema ukawa ni Ofisini sio kwa wakala wa mtaani. Na kama tukitaka mtu afute mwenyewe nyumbani basi pawe na verification ya kuingiza NIN na maswali mengine kama tarehe ya kuzaliwa