Tcra &tra!

Tcra &tra!

Mzee

Platinum Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
13,620
Reaction score
5,868
Wana jf
Inakuaje huduma za simu tulipe kodi mara mbili.
1. Ninaponunua vocha nalipa kodi.
2. Wakati napiga simu, ktk huduma zao pia wameweka na VAT.

Huu si wizi wa wazi wazi?
 
Umeona hilo tu,ustumie simu na kama vipi Jinyonge!
 
Back
Top Bottom