TCRA na usajili wa laini kwa alama za vidole

Wengine tupo swekeni kinoma, mpaka kulipata duka la mtandao mpaka uwe na angalau Tsh 10,000
Sasa dole gumba la mtu na kitambulisho vinahusiana vipi?..wao waseme tu mwenye line apite duka na mtandao husika aweke dole gumba basi.

Barafu la moto
 
Lengo ni kuoanisha line ya mtu na kitambulisho chake ili iwe rahisi kumpata mtu pindi akihitajika,
tabu iliyopo ni kuwa watu hawana hivyo vitambulisho,hata hiyo namba ya NiDA sijui hasa inapatikana vp,
 
Kwenye hicho kitambulisho kuna alama mbona, si wachukue hizo hizo
Lengo ni kuoanisha line ya mtu na kitambulisho chake ili iwe rahisi kumpata mtu pindi akihitajika,
tabu iliyopo ni kuwa watu hawana hivyo vitambulisho,hata hiyo namba ya NiDA sijui hasa inapatikana vp,

Barafu la moto
 
Juzi nilipata tetesi kutoka group moja la WhatsApp kuwa kuna zoezi la kuthibitisha usajili kwa kuweka alama za vidole.

Leo nimepata ujumbe ufuatao toka kwenye lain yangu ya vodacom.

MUHIMU: Ndugu Mteja, kuanzia Tarehe 1 Mei unatakiwa Kusajili UPYA laini yako kwa mfumo wa alama za vidole. Tembelea duka letu na kitambulisho cha Taifa au namba ya NIDA

Kama kuna anayelielewa hili atupe ufafanuzi kidogo.

Related Comments

Kertel
hiyo ni biashara ili serikali ipate mapato kupitia namba za vitambulisho vya taifa,msg inasema kama huna kitambulisho cha taifa basi nenda na namba ya kitambulisho cha taifa,kuipata namba ya kitambulisho unalipia tsh 100,haya hiyo msg imetumwa kwa wangapi na wangapi wana vitambulisho vya taifa nchi hii.

Barafu la moto
IMG_20190415_142720.jpg
 
Huu usumbufu uliopitiliza sababu ya uzembe uliowahi fanywa huko nyuma yaani mpaka mtu alisajili laini kwa kwa jina la Freemason Shetani. tunaanza kutaabika sasa hivi
 
hiyo ni biashara ili serikali ipate mapato kupitia namba za vitambulisho vya taifa,msg inasema kama huna kitambulisho cha taifa basi nenda na namba ya kitambulisho cha taifa,kuipata namba ya kitambulisho unalipia tsh 100,haya hiyo msg imetumwa kwa wangapi na wangapi wana vitambulisho vya taifa nchi hii.
Hiyo meseji unatuma kwenda namba ipi, na unatuma neno gani?
 
hiyo ni biashara ili serikali ipate mapato kupitia namba za vitambulisho vya taifa,msg inasema kama huna kitambulisho cha taifa basi nenda na namba ya kitambulisho cha taifa,kuipata namba ya kitambulisho unalipia tsh 100,haya hiyo msg imetumwa kwa wangapi na wangapi wana vitambulisho vya taifa nchi hii.
Khe kumbe namba ya kitambulisho cha taifa inauzwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
meseji tigo kwangu:
Ndugu mteja kuanzia 1 Mei, 2019 unatakiwa kusajili UPYA laini yako kwa mfumo wa alama za vidole. Tembelea dula letu na kitambulisho chako cha Taifa au namba ya NIDA
 
Back
Top Bottom