TCRA na Note 3 yangu...

Nimejaribu line zote!!!.. yani nahisi nimejaribu kila niwezacho, nikaona may be ni custom ROM niliyoweka, nikadownload Official Lollipop ROM nikainstall via Odin, kamchezo bado hako hako!
repair network tumia z3box kuna option ya ku repair network or other tools
 
Hyo solusheni yake ni kubadilisha imei,Tatizo TCRA kesi ya kubadilisha imei imekuwa kama kesi ya kusafirisha bangi.kuna washkaji wanafanya kkoo agrey buku 15 hadi 20 ila halahala tu
 
hii z3box haihitaji special cable kama SPT box inayohitaji Uart cable???
kumbe uko vizuri hata uart cable unaijua? utatumia usb cable kuna help option itakuelekaza nini chakufanya KUMBE SIMU YAKO IMEFUNGIWA POLE NUNUA NYINGINE HIYO HAINA imei Repair option kwasasa ina option ya cert ambapo unatumia duplicate imei
 
kumbe uko vizuri hata uart cable unaijua? utatumia usb cable kuna help option itakuelekaza nini chakufanya KUMBE SIMU YAKO IMEFUNGIWA POLE NUNUA NYINGINE HIYO HAINA imei Repair option kwasasa ina option ya cert ambapo unatumia duplicate imei
Shukran kaka kwa msaada, nimeamua kuiacha tu, nimeipakazi zingine kama za kuwa remote control ya TV, nitaangalia movies nikiwa kitandani kwa hiyo na pia, nitaiunganisha Wi-Fi tu nitume email, but nashukuru sana kwa kujali..... πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
kama bado unayo niuzie mkuu nahitaji kioo tu
 
TE="Vanpopeye, post: 18002645, member: 48117"]Thiudhi mkuu.[/QUOTE]

haya mkuu ukipata anaye uza nitonye
 
Pole mkuu mimi note 2 screen ime freeze. Imekuwa nyeupe na haionyeshi chochote. Nimejaribu kuifanyia hard reset imekataa. Hapo hapo nasika simu za samsung zinashida. Sasa hivi ni kuhamia tecno tu. Haiwezekani mtu unanunua simu kwa gharama afu inakufa kiboya boya tu
 
mimi nina sony experia nayo imeleta shida kama hiyo yako..inawasha data lakin haireceive calls wala sms
 
Balaa sana, tecno nao wana majanga yao, mfano ina leta ads kibao na muda mwingine kudownload apps mfululizo mpaka unashindwa kuitumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…