Nina note 3 N9005, haipigi simu wala SMS(NO service), lakini Inawasha data vizuri tu, 4g tena na inafungua internet, nikituma IMEI yake kwa TCRA, model ya simu inakuja n900t wanasema simu yangu imefungiwa, niwasiliane na mtoa huduma wangu, nahisi kama hawa jamaa wamekoseaaaaa...kuna msaada wowote?