Akikuchagulia ujue anakuheshim!Ukutukanae hakuchagulii tusi.
Utayaona ya FaizaFoxy teh teh teh !Escrow! au mshajiingiza mkenge wa kutusahaulisha kivingine? kama dili za umeme tu mnapiga, je hii si ndo mtaua kabisa, afu toka lini FaizaFoxy na sci & tech?
Ukistaajab ya Escrow ...
Akikuchagulia ujue anakuheshim!
Akikuchagulia ujue anakuheshim!
Akikuchagulia ujue anakuheshim!
Nimeipenda hii sana ....yaani ingekuwa mkombozi sana, tuchukulie tu wachukue masafa ya tbc au itv yale ya analog then iwe wifi hata nikienda kijijini kwetu kule songa mbele nje jiji naingia jf kama nipo town........faizafoxy si upo huko mmwambie j.makamba issue hii