Tcra mnasemaje kuhusu king'amuzi cha azam tv

mge

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2013
Posts
561
Reaction score
183
King'amuzi cha azam Tv kimekosa local chanel za ITV,EATV, NA STAR TV. TCRA na AZAM TV mnasemaje?
Tunaomba local channel zote ziongezwe.
 
Jamani hizi lawama nyingine hazina msingi wowote kwani toka mwanzo walishasema kama unataka kuangalia local chanels zote bure nunua kisimbusi cha ting au startimes ndio wanaolazimishwa na sheria kuonyesha hizo chanels bure bila malipo, ila kama utataka za ziada ndipo itakupasa kulipia, lakini hivyo visimbusi vingine ni pay tv inakupasa ulipie na hana ulazima wa kuweka hizo chanels nyingine kwani ina mubidi azungumze na wenye vituo hivyo endapo wakikubaliana ndio aziweke hizo chanels, ukizingatia sahara media naye ana kisimbusi cha continental na ipp media ana digitek hivyo lazima wambanie azam kama mbinu ya kibiashara.Kama una kumbuka kuna kipindi startv walijitoa kwenye startimes ndipo tcra ikaingilia kati na kuilazimisha irudi na kweli ikarudi kwani sheria ina wabana.
 
DSTV hawa hawana hata free 1 ya local channel wao vip? au umeshapata haki ya kuwa shitaki?
 
ITV na EATV wana king'amuzi chao....kinaitwa Digtek..so kibiashara hawezi kuingia Azam Tv
SATR TV ana king'amuzi chake...Continental..pia hawezi kuingia huko....

Azam ni mpinzai wa hivyo vyote...ila kwa haraka haraka ni TV mbili tu ndizo zinaonekana kwenye ving'amuzi karibu vyote..nayo ni Clouds tv na TBC ....

NB..na ndio maana unakuta ngumu Azam Tv kuona matangazo ya biashara yanayohusu Azam Tv au king'amuzi cha azam tv kwenye hizo TV
 
Jamani hizi lawama nyingine hazina msingi wowote kwani toka mwanzo walishasema kama unataka kuangalia local chanels zote bure nunua kisimbusi cha ting au startimes ndio wanaolazimishwa na sheria kuonyesha hizo chanels bure bila malipo, ila kama utataka za ziada ndipo itakupasa kulipia, lakini hivyo visimbusi vingine ni pay tv inakupasa ulipie na hana ulazima wa kuweka hizo chanels nyingine kwani ina mubidi azungumze na wenye vituo hivyo endapo wakikubaliana ndio aziweke hizo chanels, ukizingatia sahara media naye ana kisimbusi cha continental na ipp media ana digitek hivyo lazima wambanie azam kama mbinu ya kibiashara.Kama una kumbuka kuna kipindi startv walijitoa kwenye startimes ndipo tcra ikaingilia kati na kuilazimisha irudi na kweli ikarudi kwani sheria ina wabana.

Unapoongelea startimes unaongelea wanoishi kwenye miji mikubwa tu wa vijijini wataipataje?
 
Back
Top Bottom