We Jamaa unaboa kishenzi.Vyuma vimekazwa kwa kweli kila kona shida.
We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??
Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...
kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..
Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..
ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU NA KUJIFANYA KUIGIZA KUONEKANA NI MIMI
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Nenda MAHAKAMANI.We jamaa nikuulize swali?? Unaona faida gani kudukua/kuiba avatar yangu aisee...Yaani hii avatar nimeibadilisha kwa kuwa mtu mwingine aliniibia nimeweka na hii na wewe umeeiba unaweka kwako kirahisi tu??
Acha usanii mkuu, Kuna mamilioni ya picha (avatar) huko lakini unaona SAWA kutumia hii ya kwangu ambayo nimeweka na jina langu kabisa...
kiroho safi nakuomba ubadilishe hii avatar kwa maana mimo nitaonekana msanii na hata sifa mbaya huku jukwaani..
Hapa JF kila mtu ana avatar yake inayomtambulisha...nakuambia hivi kwa kuwa wewe ni mgeni na hata kama ni mwenyeji umefungua ID mpya hilo jambo unalofanya ni UZINGUAJI MKUU..
ACHA WIZI WA KUIBA AVATAR ZA WATU NA KUJIFANYA KUIGIZA KUONEKANA NI MIMI
Sent from my iDevice using Tapatalk
Sent from my iDevice using Tapatalk
Ila sijui ni wa CHAMA gani maana huko mkman kunasawasawa mkuu naenda
Sent from my iDevice using Tapatalk
Dawa ni kuwa navyo vingi! Kimoja kikizingua unahamia kingine.Wala haihitaji diploma.....wamiliki waving'amuzi wamewahonga....zile channel za bure zimeishia wapi....hawa azam TV wanajiongezea bei za huduma watakavyo...mbarawa kimyaaaa....Mmehongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wanasubiri mpaka Magufuli akohoe ndio utawaona mishipa ya shingo inawatoka, tusubiri muda ni suluhisho tosha.Wala haihitaji diploma.....wamiliki waving'amuzi wamewahonga....zile channel za bure zimeishia wapi....hawa azam TV wanajiongezea bei za huduma watakavyo...mbarawa kimyaaaa....Mmehongwa
Sent using Jamii Forums mobile app