Hah Hah easy money bana wajinga ndio waliwao,fanya kazi kwa bidii mambo ya kusubilia promosheni achana nayo,fanya kazi kwa bidii na utafanikiwa na mafanikio hayaji kama mvua ,huenda kama ni mtoto wa mkubwa kwenye chama cha magamba.hao Vodacom hata kwenye kampuni 10 zinazolipa kodi (walipa kodi wakubwa haimo)hapa unapata picha gani na ni siri iliyowazi hadi kwa mkulu ,kamishna mkuu wa TRA ,hata mtoto wa mkulima(?)alishangaa kuona makampuni ya simu na yale ya madini hayamo kwenye orodha.Kambarage aliwahi kusema kuwa viserikali visivyokusanya kodi ni VISERIKALI vya wala rushwa