Kabembe
JF-Expert Member
- Feb 11, 2009
- 2,586
- 1,792
Sawa,ila wajaribu siku moja kumpa mtu mwengine namba yangu ya simu ndio tutajua namba ni ya kwao au yangu. Kesi za hivi uwa nazipenda sana.Mkuu MUUZA NGADA fahamu kwamba hayo makampuni ya simu yanafanya biashara ya kutangaza matangazo ya hayo makampuni ya kamali. Hiyo ni biashara ya matangazo na hizo sms zimeshalipiwa tayari ndiyo maana VODACOM au kampuni yoyote ile ya simu hawawezi kuzizuia. Hii biashara inawaingizia pesa mingi sana ndiyo maana wewe ulipoenda kuwauliza wamekuzungusha tu, lakini wanajua ukweli wote kuwa wao ndiyo waliotoa hizo namba za wateja kwa makubaliano maalumu ya kulipwa.
Kiutaratibu ninavyo fahamu mimi namba ya simu unayoimiliki siyo mali yako, bali ni mali ya SERVICE PROVIDER uliyejiunga naye kama ni VODACOM, AIRTELL, HALLOTELL n.k. hawa ndiyo wamiliki halali wa hizo namba za simu. Literally tunaweza kusema namba za simu ni mali yetu, but technically zinamilikiwa na makampuni ya simu.