IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,830
- 7,374
Na wewe una uhakika gani hajafa? Onyesha evidenceUna uhakika gani kama Balali kashakufa?
Na wewe una uhakika gani hajafa? Onyesha evidence
Katika mtandao wa tweeter kuna mtu anajiita daudi balali, mtu huyu amekuwa anatweet sana mambo mengi yanayohusu serikali, vyama/taasisi na watu binafsi. Amekuwa akitutukana watanzania sana...amekuwa akitoa kashfa nyingi zinazohusu taasisi hizi...hivi tiss na vyombo vya dola kwani hamjui? Fuatilieni kwa kutumia sheria hii mpya...achukuliwe hatua kisheria...sidhani kama ni balali original ijapokuwa anajifanya kuwa ndiye mwenyewe!!!