TCRA Wametoa report ya Q2 inaonyesha watumiaji wapo 35M wa internet.
Hii ni work force kubwa sana , na ni muda wa serikali kuwaza sasa kutengeneza ajira za mitandaoni nyingi sana.
Ukosefu wa ajira za kawaida na ongezeko la watumiaji wa internet inaleta picha ya ama serikali itengeneze ajira mtandaoni au watumiaji wageuke wezi wa mitandaoni.
Attachments
TCRA Communications Statistics for Q2 2023 - 2024_1705933797.pdf