Jamani tasnia ya habari imepotoka kama kwamba hakuna tena mwangalizi wala uhariri wa habari kabla ya kuruswa hewani. Sikiliza vituo vingi vya redio mida ya asubuhi, ni kitchen part discussions. Mambo ambayo kwa kweli huwezi kukaa na mtoto ama mzazi ukasikiliza. Hivi ndio tumekosa mambo mengine ya kujadili. Ni unyumba na mapenzi tu kila siku. Terrible!
kwa manews ya uhakika sikiliza radio imani!hakuna pumba humo ni ukweli na kwenda mbele tuJamani tasnia ya habari imepotoka kama kwamba hakuna tena mwangalizi wala uhariri wa habari kabla ya kuruswa hewani. Sikiliza vituo vingi vya redio mida ya asubuhi, ni kitchen part discussions. Mambo ambayo kwa kweli huwezi kukaa na mtoto ama mzazi ukasikiliza. Hivi ndio tumekosa mambo mengine ya kujadili. Ni unyumba na mapenzi tu kila siku. Terrible!
Vituo viwakilishe mtiririko wa vipindi na contents zake vituo viwakilishe qualification za watangazaji wao zihakikiwe
kianzishwe kitengo cha monitoring na customer care ili radio husika ikipotosha kitu ama ikitumia lugha potofu wasikilizaji waripoti mara moja iwepo sheria ya lazima kuwa iwapo kuna tukio la kitaifa,ie bunge,majanga nk vituo vyote vishiriki kwa namna moja ama nyingine kuripoti..inashangaza nchi meli imezama vituo vingine vinatwanga bongo fla vour na porojo kibao as if ni vya nchi nyingine
na zile tv nizazojiunga na b.b.c au dw au aljazeera eng kwa mtazamo wako zisitishe mpango huo,kama hujaenda shule,subiri mda wa habari kwa kiswahili sikiliza,hapa tz kuna watalii wanaotumia lugha ya kiingereza au wafanyakazi wasiojua kiswahili(wapo kikazi)inabidi tuwajali!nakuunga mkono moja kwa moja. Ni dhahiri kuwa hapa tanzania redio zetu ni za hovyo ukilinganisha na jirani zetu, tukiongea ukweli utaona watangazaji wanakuja hapa kujibu kwa hasira kwani hawataki kukosolewa. Clouds na Radio one naon ndizo zinazo ongoza kwa kuongea porojo kila kukicha. Ni kweli janga linaweza tokea wao wako bize kupiga miziki ya kukopi na ku paste (flavor), huku watu wakihaha kutaka kujuwa habari. Watangazaji wengi wa hizi redio ni kama wamepachikwa tu maana inaonekana kabisa kuwa hawajuwi majukumu yao. Inashangaza kusikiliza mtangazaji anajitahidi kuongea broken kiingereza redioni ili aonekane mmarekani, yaani kichefuchefu kweli. TCRA tafadhali mkomeshe pia uzungumzaji wa kiingereza redioni. Hapa tanzania wasikilizaji wengi ni waswahili tuseme asilimia 99.9 ni waswahili na hawajui kiingereza, sasa ya nini kuongea kiingereza redioni wakati walengwa ni waswahili?
Jamani tasnia ya habari imepotoka kama kwamba hakuna tena mwangalizi wala uhariri wa habari kabla ya kuruswa hewani. Sikiliza vituo vingi vya redio mida ya asubuhi, ni kitchen part discussions. Mambo ambayo kwa kweli huwezi kukaa na mtoto ama mzazi ukasikiliza. Hivi ndio tumekosa mambo mengine ya kujadili. Ni unyumba na mapenzi tu kila siku. Terrible!
na zile tv nizazojiunga na b.b.c au dw au aljazeera eng kwa mtazamo wako zisitishe mpango huo,kama hujaenda shule,subiri mda wa habari kwa kiswahili sikiliza,hapa tz kuna watalii wanaotumia lugha ya kiingereza au wafanyakazi wasiojua kiswahili(wapo kikazi)inabidi tuwajali!
hali hii imeendelea kutokea tena leo.....Vituo viwakilishe mtiririko wa vipindi na contents zake vituo viwakilishe qualification za watangazaji wao zihakikiwe