(TCAA) usalama wa anga kunani?



mimi nafikiri hujui unachoongea, huyo mama unayemsema amelitumikia taifa zaidi ya miaka 30 kwa bidii zote. Upewe wewe huo ukurugenzi tuone utafanya nini.

Mama yangu hana shida mpaka afikirie kuongezewa muda wa mkataba wake. In short, do your research before commenting on things you have no clue on.
 

Jibu hoja moja baada ya nyingine, au mwambie mama yako ajibu.

Ama sivyo utatufanya tuamini kwamba ukaribu wa kifamilia unakufumba macho.

Na nani kasema kwamba nepotism na cronyism mpaka mtu awe na shida? Mwizi anaweza kuiba hata akiwa bilionea, mtu muadilifu anaweza kuwa muadilifu hata kama hana kitu.

Kama kwenye vile visoda vya zamani, nakwambia "Jaribu Tena". Hujafaulu kuni convince mimi wala mtu yeyote anayefikiri.
 


There is no need to convice you of anything. The truth will always be the truth whether you believe it or not. Do your own research and ask people who knows her and you will get your answer.

Kuna watu wanapenda kulalama kichinichini na kutumia majina bandia, wakiambiwa njoeni basi na ushahidi hawataki kujitokeza, unategemea nini kifanyike? kuna haki za binadamu . .people are innocent till proven giulty beyond reasonable doubt.

She has done her best and she can be anything but corrupt. By the way she is leaving soon so those who think that she is bad breath at TCAA don't have to worry for long.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…