Jamani hivi hawa mamlaka ya viwanja vya ndege tanzania kunani jamani utaratibu wao wa ajira mbona ausomeki nishatuma maombi zaidi ya mara mbili lakini sijawahi kuona waki shortlist kwa ajili ya interview yaani inakua kimya kimya
Pale ukabila umechukua nafasi mkuu. Si unajua mambo ya mamlaka tena. Kila k2 wanajiamulia wenyewe. Sasa hapo usiombe ukutane na makabila wanaojiona wao ndio wamesoma sana.