TBT

Toto la kisukuma, nawish uje uwe mama mkwe wangu.

Wadada huwa hawapatani MDA wote NI washindani
 
1. story namba moja
Mkuu,
Kwema?
Huwa kuna namna kwenye baadhi ya simulizi wanaweka link za episodes zote ukurasa wa kwanza, msomaji akigusa tu anafika kwenye tukio. Ikiwezekana kufanya hivyo itakuwa vizuri.

Labda Moderator, Active wanaweza kusaidia kwenye hilo. Otherwise kuchambua hizi pages zilivyo nyingi tutakesha humu!
 

wakikusikia watafanya hivyo.
 
Nimefanikiwa kuisoma yote in silent mode

Kuna mahali nimesoma, huku mnala wa babeli ukiwa umesimama hivyo kujikuta na kumbukumbu za mwaka 47 🤭

Hakuna moment tunainjoi kwa bed Wanaume kama kukutana na mwanamke fundi

Wala simshangai huyo mzee mwenzangu kukupatia viwanja na kukujengea mjengo

Bahati mbaya nipo na Wajukuu zangu humu, naweza kutoa ushuhuda hapa kisha wakapita kwenda kumsimulia bibi yao nyumbani nikajikuta naanza kuteswa na baridi peke yangu bure huku bibi yao akiniacha katika Uzee huu 🤪
 

Hahaha ha!!!
umbea wa wa jukuu unatukosesha mambo mazuri.

unaweza kusimulia kwa code .
Halafu wewe sio mzee nilikuona selfika bado unafaa kwa matumizi 😂 😂
 
Hahaha ha!!!
umbea wa wa jukuu unatukosesha mambo mazuri.

unaweza kusimulia kwa code .
Hahaha............nilitaka kusema hayo uliyofanyiwa na huyo Mzee Kijana, niliwahi kuyafanya japo sio kwa kiwango kikubwa kwa mabinti wawili mwaka 47

Kuna mwingine wa tatu nilitaka kumfanyia miaka 5 iliyopita, isingekuwa vijana wangu wakubwa kuingilia kati, nilitaka kumkabidhi yule mrembo kadi ya Benki iliyokuwa na fedha zangu za pension 🙌
Halafu wewe sio mzee nilikuona selfika bado unafaa kwa matumizi 😂 😂
Mimi nimekula chumvi nyingi ujue 🤪
 

Heshima kwenu wazee wa zamani mlijua kuhonga!!!!!

umri wako wewe nahisi tunalingana
 
Heshima kwenu wazee wa zamani mlijua kuhonga!!!!!

umri wako wewe nahisi tunalingana
Ukitaka kula mema ya Nchi na mabinti warembo, ni lazima uwe mwepesi kufungua pochi, na kwenye hilo eneo Wazee hatuwazagi sana 🤭

Kwenye umri naweza kuwa nimekupita parefu, Ile picha ya selfika ni ya mwaka 47 ujue 🤪

Otherwise, tukapimane umri Selous National park, muhimu unibebee dawa zangu za Presha tu 🤭 🏃 🏃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…