TBT

asante leo dada Kwa kutuletea hadithi hii, jinsi ilivyo si rahisi ku tyip maelezo marefu kiasi hiki sure unastahili shukrani na pongezi.
wengine sisi tumejifunza mengi sana , soon naelekea mwaka wa 40 wa kuzaliwa nimejua kuna watu wanaishi na sisi wengine tunasindikiza maisha .

lakini pia nimefahamu namna watu wanatumia fedha kwenye mapenzi hakika zinatumika has haswa.

nimejifunza pia maisha ni pamoja na Bahati, sina hakika kuna cha mno ulitoa hadi kuwa jinsi ilivyo kuwa ila bahati tu.

kuna watu wengi wadada wanatamani kuwa kama wewe ila haitakuwa hivyo hadi wanairudia ardhi.

kuna wanaume wengi tunatamani kuwa kama boss lakini hadi tutarudi kwenye mavumbi haitakuwa hivyo.

muhimu fungu ulilojaliwa ridhika nalo na kamwe usiache kushukuru.

pia nimejifunza kamwe nisiyaonee wivu maendeleo ya mwanamke.

shukrani tena.
 

Maneno mazuri sina la kuongezea. Asante sana!.
 
Hahaha πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜‚ πŸ˜†
Nikapata muda ntaleta nyingine ya harakti zangu na mjomba wangu! ila humo hakuna kabisa mizagamuo au ntaleta na mshikaji wangu huyu.
Jamaa hakumind akisoma humu, au yy hayupo humu kbs.
Ila weee ni stori teller mzuri sana aisee Asante sana kwa stori za town
Nawaza hao maza zako wadogo wasiwe wakina F Iran kweli?
 
Sasa
Sasa ukisikia mwanamke kuitendea haki MAKU ndo kama hivi...sio unatoa doggie style kwa chips na balimi pumbafuu😩😩😩
 
Anzisha darasa shost,watu tumechanganyikiwa hapa tunataka range na maviwanja asee,πŸ™†πŸ™†πŸ™†

Kiukweli kuanzisha darasa siwezi sina utaalamu huo!!!
Pia mimi nadhani kupenda na kujifunza hivyo vitu ni wale mama zangu wadogo maana wao walikuwa wanawaza ngono na kuridhisha na kuteka mabwana muda wote na mm nikajikuta nimeingia huko!!!!.

Makungwi wako wengi tafuta ujifunze na pia sasa hivi utandawazi ngono unajifunza na ku practice popote ulipo.
 
Jamaa hakumind akisoma humu, au yy hayupo humu kbs.
Ila weee ni stori teller mzuri sana aisee Asante sana kwa stori za town
Nawaza hao maza zako wadogo wasiwe wakina F Iran kweli?
Asante kunipa moyo maana nilijua naboronga

Amezeeka hana heka heka tena analea wajukuu.
alikuwepo humu zamani sana kwa sasa sijui hana huo muda.
Mama mdogo mmoja alifariki mwingine bado yupo na ushangingi hajaacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…