TBT

Nilipanga niwe natupia picha japo zile ambazo mimi naonekana sana mpka mwisho wa story mngeona nilivyo kwa sasa ila mmenitisha.
Twendeni hivyo hivyo bila picha.
Boss hana baya.
Mpaka hapo alituwakilisha.
Picha unaweza kuweka.
Ila kipande cha mdada wa kutoka na mkulu na askofu kifute au weka code zaidi.
Maana umetaja hadi miaka.
Yule mkulu siyo mtu mzuri sana akihisi unaweka hadharani makandokando yake. Mzee viete au karibe kapotea ujue!
 
Joanah
 
Mkuu nimeku Follow, usiwe na akili kama za INSIDER MAN ukatokomea kusikojulikana
 

Mkuu sio huyo ulio maanisha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…