Sewando MP
Member
- Jan 25, 2014
- 56
- 116
- Thread starter
- #61
Ilikuwa Temeke Mkuu, 19th Nov 2011Wapi hapa mkuu
Ilikuwa Temeke Mkuu, 19th Nov 2011Wapi hapa mkuu
Hawajui na kunguni zenyewe sisi tumelala nazo sana tuwenye roho mbaya walishajipanga kumsagia kunguni....kawapiga na kitu kizito mno....wamepoteana.![]()



Au sioHuu mwonekano unazungumza mengi
Kitu cha kwanza huna ushawishi,hujui vitu vingi,....




Hapana Kiongozi. Ndo yalikuwa maisha yenyewe hahaUlikua kwenye band ya matarumbeta?




Aaaaaah miaka imeendaIlikuwa Temeke Mkuu, 19th Nov 2011
SanaaaaaAaaaaah miaka imeenda
Hahaha
kweli hakuna Mzee pesaa tu..umetoka uzeeni umerudi ujananiHaha sawa mkuuHapana Kiongozi. Ndo yalikuwa maisha yenyewe haha![]()
![]()
![]()
![]()
Ulikuaga village pastor?There is a Race, I must Run
There is a Victory to be Won
Give me Power, Every hour
To be true, Ooh Lord
#11YearsOfVictory
#19thNevember2011
View attachment 2420685
Hapana, Ni hapa hapa Mjini, Dar. Tena Temeke kwa Wajanja hahahaaUlikuaga village pastor?




Asante sana Mkuu. Nimekusoma.Ukipost tbt weka na ulivo wakati uliopo , sisi ni wazee wa kufyatuka lolote, hongera ulianza kua mzee ukaenda kwenye ujana,
AsanteeeeeeSafi
Kwakweliii, Pesa sabuni ya Roho na Mwili hahaaaHahahakweli hakuna Mzee pesaa tu..umetoka uzeeni umerudi ujanani



. Au unasemaje?UhakikaHahahaa. Au sio?