tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,038
TBT: Mkutano wa rais Magufuli na wafanya biashara uliofanyika ikulu tarehe 07 june, 2019 akielezea kwanini amezuia kuwekeza kwenye bandari ya Bagamoyo
Soma pia: Sakata la bandari ya Bagamoyo kuuzwa kwa Waarabu latua Bungeni. Prof. Kitila asema Serikali haijaingia makubaliano yoyote ya uwekezaji
Katika maelezo yake Rais Magufuli akitoa ufafanuzi juu ya kuzuia kuwekeza katika ujenzi wa bandari ya Bagamayo alisema tunatakiwa kufufua bandari zilizokuwepo tangu awali kwanza ndipo tuwaze kujenga mpya kwasababu tukisema tujenge mpya maana yake tunaziua zile zilizokuwepo, badala yake tuziboreshe zianze kufanya kazi.
‘’Leo unakwenda unadump hela pale Bagamoyo maana yake si unaiua hii bandari iliyoachwa na Nyerere’’