TBT: Hotuba ya mwisho ya Tundu Lissu kabla hajapigwa risasi

TBT: Hotuba ya mwisho ya Tundu Lissu kabla hajapigwa risasi

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Hii ilikuwa ni tarehe 07, semptemba 2017 bungeni kabla ya jaribio la kumuua kwa risasi ingawa jaribio hilo liligonga mwamba.

Hotuba hii ndiyo iliyochochea sana kutokea kwa jaribio la kumuua kwa maneno yake ya moja kwa moja akionyesha namna viongozi wasivyowawajibikaji na kuwakandamiza wananchi.

Soma pia: Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine



Tundu Lissu alishambuliwa kwa risasi 16 katika jaribio la kumuua mwaka 2017, na tangu hapo amekuwa mmoja wa wanasiasa waliodhulumiwa zaidi nchini humo. Sasa, baadhi ya watu wanajiuliza kama huu ndio mwisho wa safari yake ya kisiasa.

Licha ya hatari kubwa inayomkabili, Lissu bado ana matumaini ya kushinikiza serikali kufanya mageuzi ya kisiasa kabla ya uchaguzi wa urais na wabunge mwezi Oktoba. Hata hivyo, hali ya kisiasa ni ngumu, na anakabiliwa na kile anachokiona kama mashtaka ya kisiasa.
Chama chake kikuu cha upinzani, Chadema, tayari kimezuiwa kushiriki katika uchaguzi huo, na yeye mwenyewe amekuwa rumande kwa zaidi ya wiki mbili.
 
Back
Top Bottom