Mkuu umenikumbusha enzi hizo nlienda Tarakea uko wakati huo ndio netwek ya buzz imefika kwa mara ya kwanza...nilipewa mfuko wa nylon umeandikwa "TARAKEA WANAONGEA NA BUZZ"
Ha haa haaa