Shoctopus
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 3,435
- 1,995
TBS NA 'BOMBA ZA UMEME'
Jumatano tarehe 19/06/2019 baada ya taarifa ya habari ya saa mbili usiku ITV alionekana mtaalamu wa TBS akiponda ubora wa alichoita 'bomba za umeme' kwamba zina mapungufu pamoja na "kupinda au kubonyea" hivyo kuweza kusababisua nyaya za umeme' kugusana na kusababisha electric short!
Hakusema aina ipi ya bomba lakini amesema zikitumika kwenye zege ndiyo zinabonyea hivyo hazifai. Kwahiyo nadhani alimaanisha za plastic.
Maswali kadhaa yanafuatia tangazo la huyu mtaalamu:
1. Kwakuwa nyaya za umeme huingizwa kwenye bomba baada ya zege kukauka hizo bomba zinabonyea au zinapindaje?
2. Tahadhari hiyo ya TBS kwa bomba za aina hiyo zilizofungwa kwenye majengo nchini au zilizopo sokoni inasaidiaje?
3. Wadau husika kama TANESCO, ZIMAMOTO, BIMA, WATOAJI WA VIBALI VYA UJENZI, na wananchi kwa ujumla watumie material gani kwa conduits za umeme?
4. Hizo conduits husika zinatengenezwa na kiwanda gani nchini au nje? Zililetwa au kuzalishwa kwa kibali cha taasisi gani? Na TBS wamekichukulia hatua gani kuepusha hatari ya moto ikiwa utsababishwa na hizo conduits?
Mwisho, kutokana na hoja hizo juu huyo mtaalamu wa TBS afanyie kazi tangazo lake ili kutuepusha mkanganyiko kwa wadau niliowataja pamoja na wananchi kwa jumla.
Vinginevyo arekebishe au afute tangazo lake.