M Mjumbe255 Member Joined May 5, 2024 Posts 23 Reaction score 31 Mar 21, 2025 #1 Ni tangu mwezi wa kumi mwaka 2024 TBS walitoa tangazo la nafasi za kazi kwa kada mbali mbali mpaka sasa kimya au waliita watu kimya kimya?
Ni tangu mwezi wa kumi mwaka 2024 TBS walitoa tangazo la nafasi za kazi kwa kada mbali mbali mpaka sasa kimya au waliita watu kimya kimya?
Umkonto umsizwe JF-Expert Member Joined Feb 7, 2023 Posts 527 Reaction score 1,130 Mar 21, 2025 #2 Mmmh
Smiley98 JF-Expert Member Joined Jun 21, 2017 Posts 259 Reaction score 535 Mar 21, 2025 #3 Mmh!si walitangaza kupitia utumishi endelea kusubiri uwe unatazama page ya utumishi,hawawezi kuajiri kimya kimya
Mmh!si walitangaza kupitia utumishi endelea kusubiri uwe unatazama page ya utumishi,hawawezi kuajiri kimya kimya